Ofisa habari wa Tume ya Ushindani Frank Mdimi akionyesha spea za magari ambazo ni feki kabla ya kuteketezwa. Spea hizo za magari zinathamani ya sh milioni 50 ziliteketezwa katika kiwanda cha m.m Steel cha Dar es Salaam. Makampuni yaliyokamtwa na bidhaa hizo ni Messers Aexcel Auto Spares (T) Ltd katoni 290 na kampuni ya Creations Enterprises katoni 50 ikiwa ni kinyume cha sheria ya Merchandise marks Act (1963).
March 19, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment