Wakimbiaji wakijiandikisha kwaajili ya Kilimanjaro Marathon
Meneja wa Vodacom Foundations Yessaya Mwakifulefule (kushoto) na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Oscar Shelukindo wakizungumza na waandishi wa habari juu ya mashindao ya mwaka huu ambapo Vodacom inadhamini mashindano ya kilometa 5 na pia itatoa zawadi kwa vituo vya yatima mjini Moshi.
Vibao vitakavyowasaidia wakimbiaji kujua umbali waliofikia.
Mzee wa Brand ya Kilimanjaro Oscar Shelukindo akifanya mawasiliano kuhakikisha mambo yanaenda sawa.
0 comments:
Post a Comment