
Baadhi ya watendaji wa baadhi ya mashirika ya Umma nchini wamekua wakionyesha udhaifu wao hadharani hadi katika semina na mikutano ya kuchangia hoja za maendeleo ya taasisi hizo, pichani wapili kutoka kushoto huenda ni mmoja wa wakubwa wa Tanesco ambaye aliamua kuuchapa usingizi mapema tu wakati ndio kwanza mkutano wa Kamati ya Bunge ya Hesabu Mashirika ya Umma ukifanya mkutano na mashirika hayo
katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo.
Wataacha kulala wakati wameshiba hela za Watanzania Wiz Mtupu!!!!
ReplyDelete