Meneja mradi wa kuzalisha umeme wa Kampuni ya Aggreko, Shaughn Tyreman akizungumza na mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Usdalali ya Majembe, Venance Mwamoto ambaye kampuni yake imepewa idhini na Mamlaka ya Mqapato Tanzania (TRA) kuifunga kufuatia deni la kodi zaidi ya Sh bilioni 10 inayodaiwa aggreko
Kampuni ya kuzalisha umeme ya Aggreko imepigwa kufuli na kamopuni ya udalali ya Majembe kwa idhini iliyopewa na TRA kufuatia deni la kodi ya miaka mitatu linalokadiriwa kufikia zaidi Bilioni 10. TRA imefikia uamuzi huo baada ya kampuni hiyo kuanza kufungasha vifaa vyake vilivyopo Ubungo tayari kwa kuvisafirisjha kwenda nchini Angola waliposaini mktaba mpya.
0 comments:
Post a Comment