Mawaziri wa JK wameanza kumuiga bosi wao staili ya kujikuna wanapotoa hotuba zao kama huyu wa Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Diodorus Kamala anavyofanya wakati akifungua mkutano kutafuta maoni unaoendeshwa na Wabunge wa Afrika Mashariki juu ya soko la pamoja.
Kwa mujibu wa uchunguzi nilioufanya watu wengi ukuna vichwa wanapokutana na matatizo au swala gumu ambayo muhusiki hana majibu kwa swala linalomkabili.Hivyo vitendo vya JK pamoja na viongozi wetu wanakuna vichwa kwa sababu hawana majibu kwa maswala yanayolikabiri taifa letu.Na kwa walalahoi wanakuna vichwa kwa kushindwa kuwaelewa hawa viongozi wetu wana fanya nini?MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDelete