
Mkali toka Jamaica Tentemento akifanya makamuzi

Joe Thomas akiwa jukwaani

Joe akisalimia mashabiki kwa kushikana nao mkono.

Mashabiki wakijadili burudani mwenye RED ni msanii wa maigizo alieigiza kwa jina la NURU katika mchezo wa Wizara ya Afya "Hukumu ya NURU". Huhu dada mwingine alibahatika kupata taulo la Tentomento.

Kila mtu alitamani kupata kumbukumbu ya tukio hilo hata kama ni kwa simu

Mzee mzima akicharaza mpini

Jukwaa la Likizo TIME.
0 comments:
Post a Comment