Nafasi Ya Matangazo

December 12, 2008

Baadhi ya wahitimu wa kozi mbalimbali katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakisubiri kutunukiwa stashahada zao jana katika mahafali ya chuo hicho Dar es Salaam.
Wahitimu wa Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Kutoka kushoto James, Maria Kaluse na Margareth Matala wakisubiri kutunukiwa shahada zao jana katika mahafali ya chuo hicho Dar es Salaam.

Posted by MROKI On Friday, December 12, 2008 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo