licha ya kuwa Polisi wa Usalama barabarani ndio wasimamizi wakubwa wa sheria za usalama barabarani lakini na wao hushuhudia uvunjaji wa sheria hizo bila kuchukua hatua hasa pale wanapokuwa katika vyombo vya usafiri. Pichani ni Mmoja wa Polisi hao aliyepakia katika pikipiki (kulia) akiwa amesimama mbele kabisa ya punda milia katika mataa ya kuongozea Magari Magomeni.
November 19, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hapo mkubwa hamna kosa lolote, unaweza ukasimama mbele ya alama ya pundamilia kama kuna nafasi au nyuma
ReplyDeleteya alama hiyo endapo huna nafasi ya kusimama mbele ya pundamilia.Kinachotakiwa ni kufuata rules au taa za kuongozea magari na kutom'bugudhi mpita njia.
nchi imejaa ubabaishaji kuanzia juu mpaka chini,jiji lina mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,meya,madiwani.viongozi kibao hakuna utekelezaji,bongo yetu hiyo kazi ipo.
ReplyDelete