Nafasi Ya Matangazo

September 20, 2008

Nilifanyiwa mshtuko kidogo juu ya keki hii na my wife.

Wadau keki hii sijaila nawasubiri hivyo kila atakae katika maskani atapata kipande maana ni kubwa na haaiishi leo wala kesho, iwapo kama mimi sipo basi unisubiri walae upate kipande. Niliadhimisha mika kamili ya kijana namshukuru mungu ujana wangu umeingia nikiwa na watoto wawili. Pia Septemba 18 ilikuwa ni mwaka mmoja tangu kufariki kwa baba yangu Mzee S T Nathan.

Posted by MROKI On Saturday, September 20, 2008 3 comments

3 comments:

  1. Happy birthday to yoouuu!!! kumbe una miaka 30 tu? hongera, ila sikujua kama una watoto 2, nilijua una 1. Hongera Father!!!

    ReplyDelete
  2. Happy besidei 2u
    Happy besidei 2u
    Happy besidei dear Mrocky,Happy besidei 2u.............
    Kata keki tuleeeeeee,kata keki 2leeeeeee.
    Naomba kwanza keki ndio niendelee kuimba.

    KWA NIABA YA WADAU WOTE WA BLOG YA WAUKWELI NA MAJAMBOZI NA WANA BLOG WOTE NCHINI TZ TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU YENYE AMANI NA UPENDO WEWE NA FAMILIA YAKO.

    ReplyDelete
  3. epibesidei tu yuuuu!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo