
Huyu ni mdau wa Tigo leo Meneja Utafiti Ally Abdalah akishangilia kwastaili hii mara baada ya kufanikisha dili la kutoa ofa ya Tigo Rushaleo.Leo 15/08/2008 mteja wa Tigo unaweza kupata mara 2 ya salio unalonunuakupitia Tigo Rusha kuanzia 2000 salio la nyongeza litatumika kwa simu zaTigo-Tigo tu ndani ya siku 7.
0 comments:
Post a Comment