
Wakazi wa nyumba kadhaa zilizoko katika eneo la Kurasini Zamkago, wakiwa na vyombo vyao nje ya makazi yao yaliyovunjwa kupisha upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam jana.

Mkazi wa Kurasini, akibeba godoro wakati nyumba zilipovunjwa katika eneo la kurasini Zamkago jijini Dar es Salaam jana.

Wakazi wa moja ya nyumba, wakisaidiana na mafundi kuondoa mabati wakati nyumba yao iliyokuwa miongoni mwa nyumba zilizovunjwa jana.
0 comments:
Post a Comment