Nafasi Ya Matangazo

July 08, 2008

Washiriki katika shindano la Miss Tanzania 2008, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa kwa zawadi zao na wadhaminui wa shindano hilo Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam jana. Washiriki hao, wameanza kambi kujiandaa na shindano hilo katika hoteli ya Paradise mjini Bagamoyo.
Posted by MROKI On Tuesday, July 08, 2008 2 comments

2 comments:

  1. AnonymousJuly 10, 2008

    Hiyo V waliotengeneza maana yake ni Voda com? Kama ndivyo kwani ni wadhamini pekee?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2008

    Bado hujanipa jibu la kufanya ngozi iwe laini kama nilivyokuomba Kidevu fanya hima hao ma miss wanamaliza kambi soon

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo