Wachezaji wa timu ya mpira wa Netbal mkoa wa Dar es Salaam wakishangilia kikombe walicho kitwaa baada ya kutawazwa mabingwa wa taifa wa mpira wa Netbal jana. Dar es Salaam waliwafunga Pwani jumla ya magoli 33-18 katika mchezo wa fainali uliochezwa katika viwanja vya Sigara jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha mkoa wa Pwani ambacho kilikubali kichapo cha magoli 33-18 kutoka kwa dadazao wa Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment