Mkemia Mkuu wa Serekali Bw Ernest Mazhimba akipata maelezo ya Vipengele vya KATIBA YA jamuhuri ya MUUNGANO WA tanzania toka kwa Ofisa wa Muungano Bi Martha Mashula alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye Maonyesho ya Utumishi wa Umma huko Mnazi Mmoja jana.
0 comments:
Post a Comment