Nafasi Ya Matangazo

June 17, 2008

Wasanii wa Vichekesho, Mzee Small na Bi Chau ni miongoni wa watu mbalimbali waliotembelea katika banda la Tanzania Standard News Papers (TSN) Limited wachapishaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari Leo na HabariLeo Jumapili, banda lilopo katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Mnazi mmoja. Magazeti hapo yanauzwa kwa beo ya punguzo. Daily News Tsh 400 badala ya 500 na Habarileo Tsh. 200 badala ya 300.
Posted by MROKI On Tuesday, June 17, 2008 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo