Nafasi Ya Matangazo

June 18, 2008

Miss Universe Tanzania 2008, Amanda ole Sululu akipeperusha bendera ya Taifa muda mfupi kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana kuelekea nchini Vietnam atakakoshiriki mashindano ya Miss Universe ambayo fainali zake zitakazowashirikisha zaidi ya warembo 80 kutoka katika nchi mbalimbali duniani zitafanyika Julai 14 mwaka huu katika mji wa Nhatrang nchini huko.
Posted by MROKI On Wednesday, June 18, 2008 2 comments

2 comments:

  1. AnonymousJune 18, 2008

    Mungu akubariki ushindi uwe wako Amanda,Nenda kaipeperushe bendendera ya Tanzania.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2008

    JAMANI HUYO MREMBO MBONA CHUNUSI KIBAO USONI INAMAANA HAJIONI LOL

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo