Nafasi Ya Matangazo

April 27, 2017

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Martin Manyanya katika hafla ya kuzindua madarasa 9 mapya,matundu ya vyoo 16 na ofisi za walimu katika Shule ya Msingi Ihumwa-Jimbo la Dodoma Mjini. Kulia ni Naibu ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde.
  Naibu ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde akizungumza wakati hafla ya kuzindua madarasa 9 mapya,matundu ya vyoo 16 na ofisi za walimu katika Shule ya Msingi Ihumwa-Jimbo la Dodoma Mjini. Wapili kushoto ni mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Martin Manyanya.
 Naibu ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwa na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Martin Manyanya wakati hafla ya kuzindua madarasa 9 mapya,matundu ya vyoo 16 na ofisi za walimu katika Shule ya Msingi Ihumwa-Jimbo la Dodoma Mjini. 
 Sehemu ya vyumba vya madarasa yaliyozinduliwa.
 Baada ya uzinduzi ni kuburudika
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Eng. Stella Martin Manyanya amezindua vyumba 9 vya madarasa mapya,matundu ya vyoo 16 na ofisi za walimu katika Shule ya Msingi Ihumwa-Jimbo la Dodoma Mjini.

Ujenzi huo umewezeshwa na program ya P4R "Lipa kulingana na Matokeo" ambapo jumla ya Tsh 192m zimetumika kukamilisha ujenzi huo.

Katika kurahisisha ufundishaji na utoaji wa huduma za kielimu shuleni hapo, Naibu ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde ameahidi kuichangia shule seti moja ya computer.
Posted by MROKI On Thursday, April 27, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo