Nafasi Ya Matangazo

October 10, 2015

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini, Ester Matiko, akiwahutubia wananchi wake katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Tarime, walioshiriki Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
 Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Vijana wa Bodaboda Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini tarime kwa Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 10, 2015.
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Tarime, walioshiriki Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Posted by MROKI On Saturday, October 10, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo