Meneja wa Biaya Ndovu Special
Malt, Pamela Kikuli (kushoto) akizungumza na waandishi w ahabari
(hawapopichani)kuhusu tuzo iliyopata hivi karibuni ya ubora wa kimataifa. Kulia ni Meneja masoko wa Kampun iya Bia Tanzania (TBL),
Fimbo Butallah.
Meneja masoko wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Fimbo Butallah (kulia). Akizungumza na waandishi wa habari
(hawapopichani) kuhusu tuzo iliyopata hivikaribu ni ya ubora wakimataifa.
Ndovu itapokea tuzo hiyo katika hafla itakayo
fanyika Jumatatu 2 Juni 2014, mjini Bordeaux, Ufaransa.
Kwa zaidi
ya miaka 3 mfululizao bia ya Ndovu Special
Malt imekuwaikishinda tuzo za ‘Gold’ na ‘Grand
Gold’ iliyopelekea kuzawadiwa kombe la ubora wa
Kimataifa 2014.
Akizungumza na waandishi wa
Habari, Meneja wa Bia ya Ndovu Bi. Pamela Kikuli alisema, “Ni heshima kubwa sana kwetu kutambuliwa katika ngazi za kimataifa. Tuzo hii inatupa motisha wa kuzidi kuimarisha ubora wa Ndovu Special Malt, kuongeza ubora ili kuwaburudisha wateja wetu ziadi”.
“Tunafurahi sana kuweza kuiipa
bia ya Kitanzania umaarufu duniani kutokana na
ubora wake. Tungependa kuishukuru Monde Selection kwa kuaanda shindano hili
ambalo linatambua na kuzawadia kilicho bora. Tuzo hii sio tu kwa TBL Ndovu Special Malt, bali ni kwa Tanzania nzima”
alisema Bw. Fimbo Butullah, Meneja wa Masoko Bia ya Ndovu.
0 comments:
Post a Comment