Nafasi Ya Matangazo

July 10, 2013

 Afisa miradi wa Shirika la Sightsavers, Janeth Bushiri akiwasaidia jambo walemavu wa macho, Sikudhani Sanga na Said Lwimbo wakati wa ufungaji mafunzo maalum ya  programu ya teknolojia saidizi kwa watu wenye uoni hafifu Dar es Salaam jana, yaliyotolewa na Shirika la Sightsavers ikishirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na Chguo Kikuu Huria(OUT). Jumla ya washiriki 41 kutoka maeneo mbalimbali nchini wamenufaika.

Afisa miradi wa Shirika la Sightsavers, Janeth Bushiri akiwasaidia jambo walemavu wa macho, wakati wa ufungaji mafunzo maalum ya  programu ya teknolojia saidizi kwa watu wenye uoni hafifu Dar es Salaam jana, yaliyotolewa na Shirika la Sightsavers ikishirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na Chguo Kikuu Huria(OUT) ambapo jumla ya washiriki 41 kutoka maeneo mbalimbali nchini wamenufaika.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo maalum ya programu ya teknolojia saidizi kwa watu wenye uoni hafifu, na wasiiona yaliyotolewa na Shirika la Sightsavers ikishirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na Chguo Kikuu Huria (OUT) wakitumia kompyuta mpakato maalum wakati wa ufungaji wa mafunzo yao Dar es Salaam jana. Jumla ya washiriki 41 kutoka maeneo mbalimbali nchini wamenufaika.
Posted by MROKI On Wednesday, July 10, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo