Nafasi Ya Matangazo

February 09, 2013

Hii ndio kazi ya Usafiri wa Baiskeli Vijijini, si kwaajili ya usafiri tu bali pia ni nyenzo muhimu katika ubebaji mizigo ya aina mbalimbali. Pichani ni mkazi wa Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma akiwa amepakia tofari zaidi ya 30 akizitoa katika tanuru kupeleka katika eneo lake la ujenzi.
Posted by MROKI On Saturday, February 09, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo