Nafasi Ya Matangazo

November 03, 2012

 Haya sasa Zulia Jekundu la Redds Miss Tanzania ndo kwanza linataka kuanza na Crew nzima ya Star TV ipo tayari kukuletea live Show nzima ya Shindano kubwa la Urembo nchini Tanzania la Redds Miss Tanzania 2012. Pichani juu ni mtangaz Sauda Mwilima akiwa tayari kwa mahojiano na wageni na wapenzi wa urembo.
Wazee wa chabo wakiwajibika
Comrade Mukhisn Mambo akiwaweka sawa vijana kabla ya Star Tv hawajaenda Live
Burudani ya ngoma ilikuwepo wakati wageni wakiingia
camera za mnato nazo zilipata kazi katika zulia Jukendu kwa walio pendeza ukienda 8020 Blog ya mwana dada Shamim Mwasha utawaona kibao.
Miss Popular Blog nayo pia ilichapa picha kadhaa za Zulia Jekundu
Shamim Mwasha kutoka 8020 Blog akiteta jambo 'off camera" na Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima kushoto) kabla show haijaanza kutamalaki.
Posted by MROKI On Saturday, November 03, 2012 1 comment

1 comment:

  1. The make ups, OMG, this is crazy. kwanini lakini?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo