Nafasi Ya Matangazo

April 01, 2012



Habari kutoka Arumeru zinapasha kuwa hadi hivi sasa ni Kata 8 tu kati ya 17 za Jibo la Uchaguzi Arumeru Mashariki ambazo tayari masanke yamefika katika Kitika Kituo Kikuu cha Uchaguzi Jimbo hilo. Aidha vurugu zilizozuka majira ya saa Mbili kasoro usiku huu na baina ya Polisi wa Kiutuliza ghasia waliokuwa wakitrawanya baadhi ya wafuasi wa Vyama waliofurika kituoni hapo wakishangilia ushindi huenda vikachangia baadhi ya masunduku ya Kura kutoka kata mbalimbali zilizosalia kuchelewa kufika na kuchelewesha kutangazwa kwa matokeo hayo.

 
Wakati Chadema hadi sasa ikionesha kutawala vituo vingi vya kupigia kura Kata za Mjini Arumeru hali inaelezwa ni tofauti katika Kata za Nje ya Mji ambako CCM inamatumaini makubwa.

1.leganga kituo cha kwanza CDM 126 CCM 26... tunaelekea kituo cha pili kata ya leganga 2. Usa river sokoni CDM - 103 CCM -29 kituo cha pili CDM 88 – CCM 41
3. USA SOKONI. CDM-103 CCM-29
KITUO B. CDM-88 CCM-41
4. Liganga A-CCM=26 : CHADEMA=114
B-CCM=27 : CHCDEMA =137
USA RIVER "A" -CCM 37: CHADEMA= 111
USA RIVER "B" -CCM 37: CHADEMA= 111
5. Magadirisho1 cdm 116 ccm 37
magadirisho2 cdm 111 ccm 37
s/m leganga cdm 142 ccm 26
maji ya chai ''a'' cdm 130 ccm 53
6. TENGERU - KITUO CHA CHAMA.
CDM-192 CCM-60 Ushirika CDM-116 CCM-56 Moivaro B CDM-149 CCM-34
7. Maji ya chai kituo A CDM 130 CCM 53 kituo b CDM 105 CCM 68 kituo C CCM 42 CDM 115 kituo D ccm 53 CDM 118 E CCM 60 CDM 105
8. Magadirisho1 cdm 116 ccm 37 magadirisho2 cdm 111 ccm 37
s/m leganga cdm 142 ccm 26 maji ya chai ''a'' cdm 130 ccm 53
9. kituo cha S/M Ambrenyi,Matokeo:: kura zilizoharibika -1,CCM-48,CHADEMA-182.
10. Kagadirisho shule ya msingi kituo cha kwanza CCM 37 na CDM 116 kituo cha pili CCM 37 na CDM 111
11. Kagadirisho shule ya msingi kituo cha kwanza CCM 37 na CDM 116 kituo cha pili CCM 37 na CDM 111
12. Kituo A kilichoko Inguseni kata ya kitatiti CDM 104 na CCM 52
13.Leganga shule ya msingi 146CDM,20CCM.
14. CDM wanaongoza hata nyumbani kwa mgombea wa CCM; Patandi kata ya Akeri.
Kituo A CCM49 - CDM 120 Kituo B CCM 50 - CDM 128 Kituo C CCM 50 CDM 127 Kituo D CCM 45 - CDM124

15. MATOKEO YA AWALI ARUMERU MASHARIKI
kituo cha nshapu 3 kata ya nkoaranga...Chadema 110,ccm 74
Kituo cha ngarasero A4..chadema 116, ccm 51
Kituo AFP - CHADEMA - 141 CCM - 32 Mbovu
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, hakuna kura iliyoharibika.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93, Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37
 Chanzo vyombo vya habari  mbali mabli.
Posted by MROKI On Sunday, April 01, 2012 7 comments

7 comments:

  1. TANGU 1977-2012 CCM MTAVUNA MLICHOKIPANDA.KAMA MLIPANDA MAGUGU BASI MSITARAJIE SHAYIRI. MNYIGANZA SANGWA IGOMTWA KIJIJINI.

    ReplyDelete
  2. YATAKAYOWAPATA CCM ARUMERU NI UBASHIRI WA UJIO WA MWAKA 2015.UKINGALIA MWAKA 2012 NA 2015 NAMBARI MBILI ZA MWISHO ZA KILA MWAKA ZINAGAWANYIKA KWA 3 NA KULETA NAMBARI MBILI MFUATANO AMBAZO NI 4 NA 5.NAMBA KANUNI MFUATANO NI NEEMA KWA CHADEMA KWA NAFASI YA URAIS LABDA KURA ZIIBWE. UBASHIRI HUU UNATOKEA KIJIJINI IGOMTWA KATIKA MTI MAARUFU MKANZAULE.HOJA IMEFUNGWA.

    ReplyDelete
  3. 2015, kura ziibwe au zisiibwe uraisi ni wa Chadema. Matokeo ya Arumeru mashariki ni ushahidi tosha kabisa kuwa ccm hawana tena chao Tanzania. Watanzania wa sasa sio kama wale wa miaka 47.

    ReplyDelete
  4. Uko sawa kabisa mkuu wangu!!!!!

    ReplyDelete
  5. Hiiiiii!!!! Wamichukuaaaaa.... Hureee

    ReplyDelete
  6. nimeipenda Arumeru

    ReplyDelete
  7. mambo ccm. Arumeru niaje

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo