Nafasi Ya Matangazo

September 04, 2011

 Bwana Harusi Dionis Sotta akivishwa Pete na Bi. Sotter Salema katika Misa takatifu ya Ndoa iliyofungwa Septemba 3,2011 katika Kanisa la Mt. Augustino, Mzumbe na baade klatika tafrija kubwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gronecy uliopo maeneo ya Nane nane ,Morogoro.
 Maharusi wakipiga picha za kumbukumbu baada ya kufunga ndoa.
 Simnaona alama za ukumbusho wa ndoa yetu takatifu!!!
 Maharusi wakipeleka zaka mazabahuni
 Biharusi Bi Sotter Salema akipambwa na wapambe.
 Maharusi wakikata ndafu tayari kwa tafrija yao.
 Watu waliburudika katika tafrija hiyo kwa kula na kunywa na kupata burudani ikiwa ni katika kuwapongeza maharusi.
 Watumishi wenzake na Bi harusi kutoka TBC waliwakilisha wenzao katika tafrija hiyo.
Wazazi wa bwana Harusi wakituzwa na wageni waalikwa kutoka Kilimahewa Mzumbe.
Posted by MROKI On Sunday, September 04, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo