Nafasi Ya Matangazo

July 31, 2010

Ndugu hawa wawili nao walikuwepo katika kuunga mkono jitihada za Zanzibar Explor kuchangisha fedha kwaajili ya Hospitali ya wagonjwa wa Akili Zanzibar.
Wadau kutoka Serena Hotel Zanzibar waliwakilisha kwa huduma bora na nadhifu. Media kutoka Dar es Salaam nao walikuwepo...
Wadau hawa wa mitindo nao walifanya makubwa kwa umoja wao.
Fathaaaaaaaaaaaaaaaa nasisi tulikuwepo. Hawa ni wadau kutoka visiwani humo walikuwepo.

Posted by MROKI On Saturday, July 31, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo