Nafasi Ya Matangazo

July 31, 2010

Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando, ambaye alijunga na chama hicho hivi karibuni akitokea chama cha NCCR Mageuzi, akiwahutubia wakazi wa jiji la Mwanza, katika mkutano wa hadhara wa kuomba kudhaminiwa, aliuofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha jana
Mwenyekiti wa CHADEMA akiwatambulisha wakazi mjini Mwanza.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, akilakiwa na wakazi wa mji wa Musoma, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, akitoea Arusha jana, ambako alikwenda kuomba udhamini.
viongozi wa CHADEMA wakipanda ndege kutoka Arusha kwenda Mwanza.
Makamanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akiwemo mgombea wa nafasi ya urais, Dk. Wilbrod Slaa (kulia), wakijadili ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kabla ya kuanza safari ya kwenda Mwanza kuomba udhamini jana. Katikati ni Mwenyekiti wa taifa, Freeman Mbowe na kushoto ni mwanachama mpya wa chama hicho, Mabere Marando.

Posted by MROKI On Saturday, July 31, 2010 3 comments

3 comments:

 1. Kaka Mroki hongera sana kwa picha nzuri.

  Mungu ibariki Chadema,Mungu inariki Tanzania.

  ReplyDelete
 2. Twashukuru kwa taswira maridhawa kabisa Mkuu

  ReplyDelete
 3. Mr Mroki, I salute you. These pictures display a true image of what was happening there. Some blogs and newspapers displayed a superficial images to hide the truth, Tanzania future depends upon few people like you. Good work and keep it up!

  ReplyDelete

 • Facebook
 • Twitter
 • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo