Nafasi Ya Matangazo

May 30, 2010

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kilichofanyika Ikulu jijini Dar Es Salaam tarehe 30.5.2010. Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda pamoja na baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Posted by MROKI On Sunday, May 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo