Nafasi Ya Matangazo

March 31, 2010

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bwana Ludovick Utouh akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti za ukaguzi wa matumizi ya Fedha za Serikali na Taasisi zake Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Kushoto ni Msaidizi wa Mkaguzi Mkuu Bwana Atanas Tarimo.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh akipeana mikono na Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kukabidhi ripoti hizo Ikulu Dar es Salaam leo.
Posted by MROKI On Wednesday, March 31, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo