Nafasi Ya Matangazo

February 09, 2010

Polisi wa doria akiwa amepakia raia katika pikipiki yake
Dar es Salaam leo. Raia akiwa amempakia polisi wa Doria katika pikipiki yake Dar es Salaam leo. Matukio haya mawili unaweza kuyaelezeaje.
Posted by MROKI On Tuesday, February 09, 2010 4 comments

4 comments:

  1. Polisi si adui bali ni rafiki wa raia wema wote

    ReplyDelete
  2. hapo ni kwamba polisi wamewakamta raia ili kuweza kuwapeleka wanapopataka nilazima waongonzane. kwa kuogopa kukimbiwa ndio wakaamua kufanya hivyo unavyoona.
    Rida

    ReplyDelete
  3. Hiyo ya kwanza ni polisi jamii na ya pili ni jamii polisi.

    ReplyDelete
  4. Hapo ni kwamba hawa jamaa wawili raia wakiwa na pikipiki yao wameshtaki isssue kwa hawa TIGO,nao wameamua kwenda eneo la tukio lakini ili waende sambamba nao abiria wa raia akapakizwa na askari na askari abiria wa tigo akapanda kwenye pikipiki ya raia.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo