
Jengo Jippya la Ofisi za PCCB mkoa wa Temeke ambalo limezinduliwa leo na Mkurugenzi wa Taatsisi hiyo Dk. Edward Hossea. wananchi mnakaribishwa hapo kuleta malalamiko, kero, dukuduku na kila mambo yanayofanywa kuhusu Rushwa katika jami, ofisi za serikali na umma.

Dk. Hossea akifafanua jambo kwa waandishi baada tya uzinduzi wa jengo hilo lililopo mkabala na Shule ya Mafunzo Changombe katika kona ya kwenda Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Picha ya pamoja kati ya wafanyakazi na Mkurugenzi wa PCCB.

Watumishi wa PCCB Temeke wakitafakari majukumu waliyonayo baada ya kupokea hotuba za viongozi wao.
0 comments:
Post a Comment