Nafasi Ya Matangazo

March 31, 2009

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) leo Machi 31 2009 imetangaza kupiga marufuku uagizaji, uuzaji na ununuaji wa dawa zote za METAKELFIN kutokana na dawa hizo kubainika kuwa ni bandia. Pichani ni Mkurugenzi wa TFDA, Margareth Ndomondo akionyesha dawa hizo kwa waandishi wa habari.
Posted by MROKI On Tuesday, March 31, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo