Nafasi Ya Matangazo

October 15, 2026



Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania (SHISAMA) Dkt. Cynthia Henjewele akiambatana na Naibu Katibu Mkuu, Aloyce Makonde, leo Oktoba 15.2026 ametembelea Kambi ya Mazoezi ya muunganiko wa  Wasanii wa Sanaa za Maonesho (United artists of Tanzania).

Leo la ziara hiyo ni kuwapa moyo na kuongeza hamasa kwa wasanii hao kuelekea onesho kubwa la sanaa.

 Wasanii hao wanafanya Mazoezi hayo katika kituo cha Don Bosco, Upanga, Jijini Dar es Salaam.

Onesho lenye mchanganyiko wa Sanaa za Maonesho la Museum arts explosion, linalotarajiwa kufanyika Oktoba 30,2026, katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.


Posted by MROKI On Thursday, October 15, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo