Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Dkt. Nettho Ndijina Ndilito (CCM).Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Mohamed Yohel Mnyalape (NLD)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Christina Denis Sembuche (NCCR-MAGEUZI)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Shabani Moyo Kirita (SAU)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Nasma Judi Hamisi (UDP)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu Lailath James Mbuta (TLP)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Baraka Roman Machumu (MAKINI)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Jeremia Andrea Alexander (ADC).
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Philemon Mathias Nyakapala (CHAUMMA)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Rahel Balama George (NRA)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Samwel Andrea Mazengo (UMD)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Runna Hussein Karya (UPDP)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Damaly Richard (DP)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Karunde Juma Pugupugu (CCK)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Judith John Ngolola (ADA TADEA)
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale (kulia) akimkabidhi fomu za uteuzi Ndugu. Exsavery Adriano Mapunda (A.A.F.P).
*************
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamwino, Ndugu. Godfrey Mnyamale amefanya uteuzi wa wagombea 16 ambao majina yao yamependekezwa na vyama vyao vya siasa na ambao wamekidhi vigezo vya kisheria kuwa wagombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo hilo lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma.
Wagombea hao na vyama vyao kwenye mabano ni Dkt. Nettho Ndijina Ndilito (CCM), Ndugu. Mohamed Yohel Mnyalape (NLD), Ndugu. Christina Denis Sembuche (NCCR-MAGEUZI), Ndugu. Shabani Moyo Kirita (SAU), Ndugu. Nasma Judi Hamisi (UDP), Ndugu Lailath James Mbuta (TLP), Ndugu. Baraka Roman Machumu (MAKINI) na Ndugu. Jeremia Andrea Alexander (ADC).
Wengine ni Ndugu. Philemon Mathias Nyakapala (CHAUMMA), Ndugu. Rahel Balama George (NRA), Ndugu. Samwel Andrea Mazengo (UMD), Ndugu. Runna Hussein Karya (UPDP), Ndugu. Damaly Richard (DP), Ndugu. Karunde Juma Pugupugu (CCK), Ndugu. Judith John Ngolola (ADA TADEA) na Ndugu. Exsavery Adriano Mapunda (A.A.F.P).
Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Chamwino utafanyika siku ya Jumatano tarehe 04 Novemba, 2026 sambamba na uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 11 za Tanzania Bara.
Kata hizo ni Nonde iliyopo Halmashauri ya Jiji la Mbeya; Lugenge, Halmashauri ya Mji Njombe; Bargish, Halmashauri ya Mji Mbulu; Makole, Halmashauri ya Wilaya ya Muheza; Mwera, Halmashauri ya Wilaya ya Pangani na Oldonyosambu, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro.
Nyingine ni Igalula iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Uyui; Shelui, Halmashauri ya Wilaya ya Iramba; Mvumi, Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa; Nyarero, Halmashauri ya Wilaya ya Tarime na Ilolangulu, Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe.





















0 comments:
Post a Comment