Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi (katikati) akiwa katika ziara ya kukagua jengo la ya ofisi hiyo linaloendelea kujengwa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma Januari 19,2026.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi (mwenye suti ya bluu) akisaini kitabu cha wageni alipo tembelea na kukagua jengo la ya ofisi hiyo linaloendelea kujengwa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma Januari 19,2026.
Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi (mwenye tai) akielezea jambo wakati Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi alipotembelea na kukagua jengo la ofisi hiyo linaloendelea kujengwa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma Januari 19,2026.




0 comments:
Post a Comment