Nafasi Ya Matangazo

August 08, 2025

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa  Dkt. Fatma Mganga, ambaye ni mjane wa Mhe. Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika nyumbani kwa marehemu, Mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, leo Ijumaa tarehe 9 Agosti 2025.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, akiwapa pole baadhi ya waombolezaji kwenye msiba wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai, alipofika nyumbani kwa marehemu, Mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, kwa ajili ya kusaini kitabu na kutoa pole, leo Ijumaa tarehe 9 Agosti 2025.


 

Posted by MROKI On Friday, August 08, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo