Nafasi Ya Matangazo

June 23, 2025





Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa ametembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

Akiwa katika Banda la Bunge, aliipongeza Ofisi ya Bunge kwa kushiriki maonyesho hayo na jinsi ambavyo Bunge linatunza kumbukumbu zake baada ya kushuhudia nyaraka mbalimbali za kihistoria zinazohusu Bunge na Wabunge.

Mheshimiwa Waziri Mkuu leo atayafunga maonyesho hayo yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.
Posted by MROKI On Monday, June 23, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo