Nafasi Ya Matangazo

June 27, 2025





Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Ackson (Mb) amepokea Juzuu za Sheria kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari (Mb), leo tarehe 26 Juni, 2025. Juzuu hizo ni mkusanyiko wa Sheria zote zilizotungwa katika Bunge la 12.

Mheshimiwa Spika ameipongeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuendelea kulishauri vyema Bunge wakati wa utekelezaji wa majukumu yake hasa ya Utungaji wa Sheria.
Posted by MROKI On Friday, June 27, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo