Zitto Kabwe akizungumza na halaiki ya wananchi wa Kigoma mjini badaa ya kuchukua fomu.
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe Kiongozi mstaafu wa ACT
Wazalendo, Ndg. Zitto Zuberi Ruyangwa Kabwe
amejitosa kuwania kuteuliwa na chama chake kuwania Ubunge wa Jimbo la
Kigoma Mjini katika uchaguzi Mkuu utakaofanyikia Mwezi Oktoba mwaka huu.
Zitto aliyepata kushika nafasi hiyo ya Ubunge
kwa vipindi viliwi kuanzaia mwaka 2005 hadi 2015 akiwa ni Mbunge wa Kigoma Kusini
naabaade kuamua kugombea jimbo la Kigoma Mjini akiwa na Chama cha Chadema na
baadae kujiondoa uancahama alichukua fomu hioyo Mei 04,2025.
akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika
katika Kata ya Bangwe Jimbo la Kigoma Mjini, Mei 04, 2025 ikiwa ni saa chache
baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
Zitto ambaye ni Msomi wa masuala ya Uchumi
kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ameamua kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa
Jimbo la Kigoma Mjini.
0 comments:
Post a Comment