Nafasi Ya Matangazo

May 05, 2025


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano kati ya Rais wa Chemba ya biashara,Viwanda na Kilimo(TCCIA) Vicent Minja na Waziri Msaidizi wa Masuala ya Uchumi na biashara UAE, Mh. Saeed Mubarak Al Hajeri wa Shirikisho la Vyama vya Biashara na Viwanda vya UAE na Chemba ya Biashara,Viwanda na Kilimo(TCCIA) kuhusu uanzishwaji wa Baraza la Pamoja la Biashara kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu na Tanzania tarehe 05 Mei, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Monday, May 05, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo