Pongezi kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup).
Mafanikio ya kuingia hatua ya Robo Fainali ya mashindano haya mkiwa vinara wa kundi lenu sio tu heshima kwa nchi yetu, bali pia faraja na furaha kwa mashabiki wenu na Watanzania wote.
Ninawataki kila la kheri katika hatua inayofuata. Endeleeni kutupa burudani na kuipeperusha vyema bendera yetu kimataifa.
0 comments:
Post a Comment