Nafasi Ya Matangazo

October 07, 2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Jeremiah Katungu, mazungumzo yaliyofanyika mkoani Dodoma tarehe 07 Oktoba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Jeremiah Katungu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika mkoani Dodoma tarehe 07 Oktoba 2024.

Posted by MROKI On Monday, October 07, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo