Nafasi Ya Matangazo

September 28, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Maliasili kuongeza ndege nyuki (drones), Maafisa Maliasili na vitendea kazi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru na Namtumbo ili kukabiliana na changamoto wa wanyama wakali na waharibifu hususan tembo wanaovamia mashamba ya watu.

Ameyasema hayo leo Septemba 28,2024 katika uwanja wa Majimaji Mjini Songea Mkoani Ruvuma alipokuwa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara.



Posted by MROKI On Saturday, September 28, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo