Nafasi Ya Matangazo

May 17, 2024

Ni wakati mwingine wa kusherehekea na kutambua mchango wa Sekta Binafsi katika katika kujenga uchumi wa Taifa letu tukio hili linakutana na sherehe kubwa ya TPSF kutimiza miaka 25 toka kuanzishwa.Tukio hili la kihistoria litatoa fursa ya midahalo katikakutafakari safari hiyo kwa kutathmini mchango wa Sekta Binafsi katika mapinduzi ya kibiashara na ukuaji wa uchumi wetu.

Mada yetu: “Miaka 25 ya TPSF katika kuchochea ukuaji wa uchumi  wa Sekta Binafsi kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050”

Midahalo hii itasaidia katika kuweka mikakati katika kuboresha mazingira ya biashara nchini na kuweka mipango ya kukuza Sekta binafsi katika miaka ijayo.

Tarehe 23 na 24 Julai, 2024 Ukumbi JNICC - Dar es Salaam

Jisajili leo
#TPSW24 #tpsflook 
#voiceofprivatesector
Wiki ya Sekta Binafsi Tanzania 2024 imewadia!
Posted by MROKI On Friday, May 17, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo