Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu (kushoto) na rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) Dkt. Beatrice Mwilike (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Wakunga Mahiri ambao Waziri Mkuu aliwatunuku vyeti vya kutambua umahiri wao wa kufanya kazi kwa ufanisi katika maafa. Wakunga hao ni Theodora Nakei ( wa pili kushoto) ambaye alifanya kazi kipindi cha maafa ya maporomoko ya udongo eneo la Gendabi wilayani Hanang na Ananyise Makyao ambaye alifanya vizuri katika maafa ya mafuriko Rufiji. Tukio hilo lilifanyika wakati Waziri Mkuu alipofungua Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijni Dar es salaaM Mei 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Mei 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Mei 5, 2024. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo mafupi kutoka kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam kufunguai Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani, Mei 5, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani, Mei 5, 2024. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chlamila na wa tatu kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:
Post a Comment