Nafasi Ya Matangazo

May 14, 2024

Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma,Mheshimiwa Jaji Edwin Kakolaki akiweka Saini hati ya kiapo ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati wa zoezi la kuapa kuwa Mumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji.Kiapo hicho kimefanyika leo katika Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji haki, Mahakama ya Tanzania, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Ally Senga Gugu akiapa mbele ya Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma,Mheshimiwa Jaji Edwin Kakolaki   kuwa mjumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji,kiapo hicho kimefanyika leo katika Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji haki,Mahakama ya Tanzania,jijini Dodoma
Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma,Mheshimiwa Jaji Edwin Kakolaki akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo(kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Ally Senga Gugu(kushoto) baada ya viongozi hao wawili kuapa kuwa wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji,kiapo hicho kimefanyika leo katika Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji haki,Mahakama ya Tanzania,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Posted by MROKI On Tuesday, May 14, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo