Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Taaluma, Utafiti na Ushauri Prof. Razack Lokina (kulia mwenye miwani), akimkabidhi zawadi ya kikombe Bw. Abdulmalik Mollel, Mkurugenzi Mkuu wa Global Education Link (GEL) alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa maonesho ya Wiki ya Elimu, Tanga.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mkwakwani Tanga, wakizungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko walipotembelea Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Elimu, Tanga.Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Al-Kheir wakiwa kwenye picha ya pamoja na Bi. Flora Sungura, Mwananafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Chuo Kikuu cha Dodoma katika Sanaa na Ubunifu.
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Bi. Gloria Lema.
*************
Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM), kimeendelea kuwa kivutio kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Elimu Tanga,
yanayoendelea sambamba na maonesho ya Elimu, Ubunifu na Teknolojia, kwenye
viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal, Bombo.
0 comments:
Post a Comment