Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.

Kamishna wa Wakala ya Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo akifuatilia matukio katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.
Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Deusdedith Bwoyo (kulia) akifuatilia matukio katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akiwa na baadhi ya Mawaziri wa nchi za SADC katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo Mnzava (katikati), Mbunge wa Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete (kulia) kutoka Tanzania na Mbunge kutoka Zambia, Mhe. Imanga Wamunyima (kushoto) wakifuatilia matukio katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.
Kamishna wa Wakala ya Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo akifuatilia matukio katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.
Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Deusdedith Bwoyo (kulia) akifuatilia matukio katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (hayupo pichani) Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akiwa na baadhi ya Mawaziri wa nchi za SADC katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani leo Aprili 17,2024.
Serikali ya Tanzania
imezihimiza nchi za ukanda wa SADC kushirikiana katika usimamizi wa Misitu ya
Miombo kutokana na umuhimu wake kiuchumi, kijamii na katika uhifadhi mazingira.
Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 17,2024 na Waziri wa
Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Kimataifa
kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo unaofanyika jijini Washngton DC nchini Marekani.
“Tushirikiane na kupeana uzoefu, mbinu na
teknolojia bora za usimamizi
na uendelezaji wa misitu ya miombo" Mhe Kairuki alisema.
Aidha, Mhe.Kairuki amezitaka nchi hizo kushikamana kwa pamoja
kukabiliana na kasi kubwa ya uharibifu wa misitu unaotokana na shughuli za
kibinadamu kama vile ukataji miti, kilimo, uchomaji moto na utegemezi wa
nishati ya kuni ” Waziri Kairuki amesisitiza.
Katika hatua nyingine Waziri Kairuki ametaja jitihada mbalimbali
za Serikali ya Tanzania katika usimamizi na uendelevu wa misitu ya miombo
kama mpango wa kitaifa wa kuhamia kwenye
nishati safi kutoka katika matumizi ya kuni na mkaa ambapo kufikia mwaka 2031 Tanzania
iwe imeshahamia kwenye matumizi ya nishati safi.
Pia amesema Tanzania inaendelea kuimarisha viwanda vya mazao
ya nyuki kwa ajili ya kuwezesha wafugaji wa nyuki kupata fedha na hivyo
kupunguza utegemezi kwenye misitu.
Ameomgeza kuwa pia Tanzania inaendelea kuimarisha usimamizi
wa sheria katika misitu na kuhimiza ushiriki wa jamii katika uhifadhi wa misitu
ikiwa ni utekezaji wa Sera ya Taifa ya
Misitu.
Mkutano huo umehudhuriwa na
Mawaziri, Wabunge na Maafisa Waandamizi kutoka nchi za Zimbabwe, Zambia,
Namibia, Msumbiji, Malawi, Congo, Botswana, Angola na Tanzania, Umoja wa Afrika
na wadau mbalimbali wa uhifadhi.
0 comments:
Post a Comment