Nafasi Ya Matangazo

March 09, 2024

 



Tarehe 08 Machi, 2024 wanawake kutoka Tume ya Madini Makao Makuu pamoja na Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa, wameungana na wanawake wengine duniani kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani.

Kaulimbiu ya siku ya wanawake kwa mwaka huu ni “ Wekeza Kwa Wanawake Kuharakisha Maendeleo Ya Taifa na Ustawi wa Jamii"
Posted by MROKI On Saturday, March 09, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo