Mwonekano wa jengo la gorofa lililoporomoka eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwonekano wa jengo la gorofa lililoporomoka eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi, wakati alipotembelea eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi kufuatia kuporomoka kwa jengo la gorofa jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafaniliwa jambo na Mkuu wa Kitengo cha Dharura MOI, Dkt. Juma Mfinanga, wakati akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliyookolewa katika gorofa lililoporomoka eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi Shukuru Juma, jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024.
T8A1578 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albart Chalamila, alipotembelea eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi kufuatia kuporomoka kwa jengo la gorofa jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3T8A1664 3T8A1735 W (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mtu mmoja na wengine 28 kuokolewa wakiwa wamejeruhiwa katika ajali ya kuporomoka kwa ghorofa iliyotokea asubuhi ya leo, Novemba 16 Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza kwenye eneo la ajali, Waziri Mkuu amesema serikali kupitia kwa vikosi vya uokoaji itahakikisha shughuli hiyo inafanyika mpaka watu wote waliokuwepo kwenye jengo hilo wakati wa ajali wanathibitika iwapo wako hai au wamefariki.
Nacho kikosi cha zimamoto na uokoaji kimesema kuwa kinaendelea na juhudi za kuwaokoa watu walionaswa kwenye vifusi ikiwa ni pamoja na kuwapelekea hewa ya oksijeni kupitia mipira maalumu ili kuwasaidia kupata hewa safi wakisubiri uokozi.

0 comments:
Post a Comment