Nafasi Ya Matangazo

March 07, 2024












Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule Leo Machi 07, 2024 amefungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika Uwanja wa Mashujaa Jijini Dodoma.

Maonesho hayo yatafanyika kwa muda wa siku tano kuanzia Leo tarehe 07 Machi hadi 11  ambapo Kuna jumla ya mabanda 53 ya Wadau zikiwamo taasisi za Serikali na binafsi zinazoshiriki.

Akizungumza na washiriki pamoja na Wananchi waliojitokeza katika Viwanja hivyo Mhe. Senyamule ametoa wito kwa wananchi kutumia maonesho hayo kutatuliwa kero zinazowakabili .
Posted by MROKI On Thursday, March 07, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo